Matege (kwa Kiingereza: rickets au rachitis) ni ugonjwa unaompata mtu au mnyama mwenye ukosefu wa vitamini D mwilini, hasa miezi ya kwanza ya maisha yake.
Mtu mwenye matege miguu yake hupinda.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa