Ekinokokasi (maradhi ya hiadatidi) ni maradhi yenye kusababishwa na kimelea parasiti.
Hiadatidi ni sisti za kiluwiluwi cha tegu “Taaenia echinococcus” masalia ya tishu za kiinitete
Watu wanaumia aina mbili kuu ekinokokasi ya sisti na ekinokokasi alveolasi. Zaidi kuna aina mbili zingine zisizojulikana kama hizo ekinokokasi yenye sisti nyingi na ekinokokasi yenye sisti moja.
Maradhi haya mara nyingi yanaanzia bila dalili huenda yanamudu muda wa mwaka katika hali hiyo. Dalili zilizopo zinategemea ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa