Kimeta (kwa Kiingereza: Anthrax) ni ugonjwa wa kuambukiza. Wanadamu wote na wanyama wanaweza kupata huu ugonjwa.
Inasababishwa na bakteria bacthus anthracis. Pia huwapata wanyama wenye kwato kama vile ngamia na twiga.
Spora au chembe za bakteria zinaweza kuishi kwa mamia ya miaka. Kwa kawaida watu hupata ugonjwa huo kutoka kwa wanyama. Kwa kawaida haiambukizi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.
Kimeta kinaweza kutibiwa na antibiotiki. Pia kuna chanjo dhidi yake. Ikiwa haitatibiwa mapema, ugonjwa ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa