Mafindofindo (kwa Kiingereza Tonsillitis) ni ugonjwa unaopata findo.
Dalili zake ni pamoja na maumivu ya koo, homa, uvimbe wa findo na shingo, tena shida ya kumeza.Chanzo cha kawaida ni virusi, lakini pia bakteria.
Ikitokana na streptokoki wa kundi A, inaitwa uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki (strep throat).
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa