Upofu wa mto(ni) au usubi (pia inajulikana kama Onchocerciasis na Maradhi ya Robles), ni maradhi yasababishwayo na ambukizo la kinyoo wa kimelea Onchocerca volvulus.Dalili ni pamoja na mwasho mkali, manundu chini ya ngozi, na upofu. Maradhi hayo ni sababu ya pili baada ya vikope kumfanya mtu kuwa kipofu kutokana na ambukizo.
Mwaka wa 1915 daktari Rodolfo Robles aligundua kwa mara ya kwanza uhusiano baina ya kinyoo na maradhi ya macho.Kinyoo cha kimelea anasambazwa na maumo ya usubi weusi wa spishi ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa