Muhindi (pia: mhindi) ni mmea wa familia ya nyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu za mhindi ni mahindi ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia pamoja na Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kusini.
Mhindi ni kati ya nafaka ya kwanza kulimwa kama chakula cha binadamu. Asili yake ni Amerika ya Kati ulipogundiliwa na Maindio. Wahispania walipeleka nafaka hii Ulaya; taarifa za kwanza za mashamba ya muhindi katika Hispania zilipatikana mwaka 1525 yaani miaka michache tu baada ya safari ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa