Mpunga wa kiasia ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za mpunga zikisafishwa huitwa mchele na mchele ukipikwa ni chakula cha wali. Wali ni chakula muhimu cha watu katika sehemu nyingi za dunia hasa Asia lakini pia Afrika na penginepo.
Asili ya mpunga iko katika Asia. Wataalamu huamini ilipatikana mwanzoni ama China ya kusini au Uhindini. Wengine huona ya kwamba manyasi ya aina Oryza sativa yaliendelezwa na wakulima China na Uhindi kila mahali bila kutegemeana. ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa