Mbangi (spishi za jenasi Cannabis) ni mmea aina ya vichaka utumikao ili kutengeneza nyuzi au madawa ya kulevya (bangi), n.k.
Cannabis indica Mbangi-dawa: hutoa bangi.
Cannabis ruderalis Mbangi-wanja: hutumika kwa kuchavusha.
Cannabis sativa Mbangi-katani: hutoa nyuzinyuzi hasa.
Spishi hizo za mbangi zina matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine zaidi. Shida yake kubwa ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa