Kiazi cha kizungu, kiazi ulaya, kiazi mviringo au mbatata ni mmea wa chakula uliomo katika familia ya Solanaceae. Chakula ni sehemu nene za mizizi yake (kiazi) yenye wanga, vitamini na madini. Sehemu bichi zinazoonekana juu ya ardhi haziliwi ni sumu.
Viazi hivi ni chakula muhimu kimataifa ni chakula kikuu katika nyingi. Asili ya mmea iko Amerika ya Kusini ilipoteuliwa na kukuzwa na Maindio. Wahispania walikikuta Amerika na kuisambaza Ulaya. Hata hivyo wakati mwingine huitwa 'kiazi ulaya' au 'kiazi ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa