Mnjugu (Arachis hypogaea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaozaa njugu (pia karanga), mbegu zake ambazo zipo mbili mbili (pengine moja) ndani ya makaka. Tofauti na makaka ya kawaida vikonyo vya yale ya mnjugu huingia ardhini na makaka yanaendelea chini.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa