Kitunguu saumu au kitunguu thumu (kwa jina la kisayansi Allium sativum) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa mahali pengi duniani.
Hata kama “sativum” inamaanisha “ya pori”, mimea ya spishi hii ambayo inamea porini inatokana na mashamba na bustani. Jamaa yake ya pori ni A. longicuspis. Matunguu ya saumu hayako chini ya ardhi tu; mengine humea juu ya shina.
Kitunguu saumu kitiba kina matumizi mbalimbali. Kitunguu saumu kinatibu maradhi arobaini (40). Maradhi hayo kwa uchache ni kama yafuatayo: ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa