Mikalatusi au mikalitusi (kwa Kiing. gum tree) ni miti na vichaka ya jenasi Eucalyptus katika familia Myrtaceae.
Miti hii kiasili inatokea Australia na maeneo jirani ya Australasia. Kuna spishi zaidi ya 700 katika jenasi hii. Spishi 15 pekee ziko nje ya Australia. Siku hizi zinapatikana kote duniani kwa sababu zimepandwa kote katika maeneo tropiki na nusutropiki pamoja na Amerika, Afrika, nchi kando la Mediteranea, Mashariki ya Kati, China na Uhindi. Spishi zilizo nyingi haziwezi kustawi katika maeneo ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa