Mpamba (Gossypium sp.) ni jina la spishi nne za vichaka au miti ambazo matunda yao yatoa nyuzinyuzi zito iitwayo pamba.
Gossypium arboreum, mpamba mti (inatoka India na Pakistani)
Gossypium barbadense, mpamba wa Kimisri (inatoka Amerika ya Kusini)
Gossypium herbaceum, mpamba wa Kiarabu (inatoka Afrika ya Kusini na Uarabu)
Gossypium hirsutum, mpamba wa Kimarekani (inatoka Amerika ya Kati, kusini kwa Florida na Visiwa vya Karibi)
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa