Mtofaa au mtufaha ni mti mdogo wa familia Rosaceae. Matunda yake huitwa matofaa au matufaha (kwa Kiingereza: 'apple').
Mti huo unapandwa kila mahali katika kanda za wastani au juu ya milima. Haukui vizuri katika kanda za tropiki, kwa sababu takriban aina zote za mtofaa zinahitaji halijoto za chini ili kurahisisha kuchanua na kutoa matunda.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa