Mitende ni miti mikubwa ya jenasi Phoenix katika familia Arecaceae. Matunda huitwa matende.
Asili ya miti hii ni ukanda kutoka Visiwa vya Kanari kupitia Afrika ya Kaskazini na Asia ya Kusini mpaka Malaysia na Uchina Kusini.
Mti unaojulikana sana ni mtende wa kawaida na mti huu hupandwa sana katika oasisi za majangwa ya Afrika na Asia na pembezoni kwa majangwa haya.
Mitende ni maarufu katika utamaduni wa Waisraeli na Waarabu. Injili ya Yohane 12:12-19 inataja matawi ya miti hiyo kwamba yalitumika ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa