Kwa kipimo chenye jina la karibu angalia hapa shubiri
Mshubiri au msubili ni jina la mimea ya jenasi Aloe katika nusufamilia Asphodeloideae ya familia Xanthorrhoeaceae ambayo ni aina za sukulenti. Watu wengi wanaendelea kuweka Aloe ndani ya familia yake Aloaceae. Spishi kadhaa ni miti, lakini siku hizi huainishwa katika jenasi Aloidendron.
Majani ya mishubiri na dawa zilizotengenezwa kutoka haya huitwa shubiri.
Mimea hii ina shina fupi au haina shina kabisa, isipokuwa spishi zilizo miti. Majani ni ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa