Miforosadi (pia mifurusadi) ni miti ya jenasi Morus katika familia Moraceae. Kwa kawaida miti hii si mikubwa sana. Matunda yao huitwa maforosadi na yale ya spishi kadhaa huliwa sana duniani. Majani ya mforosadi mweupe, na spishi nyingine pia, hutumika kwa kulisha viwavi wa nondo wa hariri.
Morus alba, Mforosadi Mweupe (White mulberry)
Morus australis, Mforosadi wa Uchina (Chinese mulberry)
Morus cathayana, Mforosadi wa Uchina Kaskazini
Morus celtidifolia, Mforosadi wa Teksas (Texas mulberry)
Morus ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa