Mchai (Camellia sinensis) ni kichaka ambacho majani, na pengine matawi, yake hutumika kutengeneza chai. Spishi hii inatoka Asia ya Mashariki, ya Kusini-Mashariki na ya Kusini, lakini sikuhizi hupandwa mahali pengi pa kanda tropiki na nusutropiki.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa