Kiazi kitamu (Ipomoea batatas) ni mmea wa chakula uliomo katika familia ya Convolvulaceae. Kuna aina mbalimbali, k.m.:
halitumwa - aina njano
kindoro - aina nyekundu
sena - aina nyeupeChakula ni kiazi au sehemu nene za mizizi yake yenye wanga, vitamini na madini.
Majani mabichi (k.m. matembele, miriba, mitolilo) huliwa pia kama mboga.
Katika Afrika ya Mashariki huliwa pia kama mchembe (vipandevipande vilivyokaushwa katika hali mbichi) au mbute (vilivyokaushwa baada ya kupikwa).
Viazi vitamu hulimwa ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa