Misafsafi (kutoka Kiarabu: صفصاف; Kilatini: Salix) ni familia ya miti fulani imeayo kando ya maji mengi katika Nusudunia ya Kaskazini. Misafsafi inayojulikana sana ni Msafsafi wa Babeli (Salix babylonica) kutoka Uchina na Msafsafi Mweupe (Salix alba) kutoka Ulaya.
Salix, Msafsafi (Willow)
Salix acutifolia, Msafsafi Majani-marefu (Long-leaved Violet Willow)
Salix alba, Msafsafi Mweupe (White Willow)
Salix amygdaloides, Msafsafi Majani-fyulisi (Peachleaf Willow)
Salix arctica, Msafsafi wa Aktiki (Arctic ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa