Mitango ya Afrika ni spishi za mimea za Afrika kwenye jenasi Momordica katika familia Cucurbitaceae. Matunda yao yanafanana na matango na kwa kawaida yana rangi ya nyekundu au ya machungwa yakiwa yameiva. Mbegu zao zimepambika kwa mpako mwekundu kama upepe wa maharagwe.
Momordica balsamina, Mtango-zeri
Momordica boivinii, Mtango wa Boivin
Momordica calantha, Mtango Maua-marembo
Momordica charantia, Mtango-chungu au Mkarela
Momordica foetida, Mtango-nuka au Mnyanya-nuka
Momordica glabra, Mtango-kipara ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa