Mibuni (Coffea spp.) ni miti au vichaka ambayo matunda yao (buni) huchomwa na kusagwa ili kutengeneza kahawa.
Spishi zinazokuzwa sana ni Mbuni Arabu (Coffea arabica) na Mbuni imara (Coffea canephora). Asili ya spishi ya kwanza ni milima ya Ethiopia na Yemen na asili ya ile ya pili ni Ethiopia.
Inaaminika kuwa asili ya kuchoma buni ni nchini Ethiopia.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa