Mpira ni spishi ya mti (Hevea brasiliensis) katika familia Euphorbiaceae. Utomvu wake huvunwa ili kutengeneza dutu kinamo inayoitwa mpira pia. Jina “mpira” hutumika pia kwa miti ingine kama Landolphia kirkii, Saba comorensis, Manihot glaziovii, Sonneratia alba na S. caseolaris.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa