Jira (kwa Kiingereza: 'cumin') ni mbegu za mjira (Cuminum cyminum) zenye rangi ya kahawia zinazotumika kama kiungo pamoja na hiriki, bizari (bizari nzima, bizari nyembamba) katika upishi, hasa upishi wa pilau.
Ilitajwa na Yesu (Math 23) kati ya vitu vidogo ambavyo walimu wa sheria na Mafarisayo walivilipia zaka kwa kusahau mambo muhimu zaidi kama kutenda kwa haki na huruma.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa