Mbono au mbono kaburi (Jatropha curcas) ni mti au kichaka ambacho makokwa yake (mabono) yatoa mafuta yanayofaa. Mafuta haya hutumika ili kutengeneza mafuta ya kikaboni (biodiesel au petroli kutoka mimea).
Kuna vichaka vingine ambacho huitwa mbono pia, k.m.:
mbono-bustani, spicy jatropha (Jatropha integerrima)
mbono kibuyu, buddha belly plant (Jatropha podagrica)
mbono mdogo, castor oil plant (Ricinus communis)
mbono pembe, coral plant (Jatropha multifida)
mbono wa kizungu, frangipani (Plumeria spp.) ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa