Mikiwi ni mimea ya jenasi Actinidia katika familia Actinidiaceae. Mimea hii ni vichaka vyenye urefu wa hadi m 6 au mitambazi ya hadi m 30. Inazaa matunda yalikayo ambayo huitwa kiwi. Asili ya mimea hii ni Asia ya Mashariki lakini spishi kadhaa hukuzwa katika nchi nyingine, mkiwi wa kawaida (Actinidia deliciosa) hasa katika Italia na Nyuzilandi.
Actinidia arguta, Mkiwi Mvumilivu (Hardy kiwi au arctic kiwi)
Actinidia chinensis, Mkiwi Njano (Golden kiwi)
Actinidia coriacea, Mkiwi Matunda-mayai (Chinese ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa