Mikarakara au mipesheni ni mimea mitambazi ya jenasi Passiflora katika familia Passifloraceae. Matunda yao huitwa makarakara au mapesheni.
Asilia ya mimea hii ni Amerika, Amerika ya Kati na ya Kusini hasa. Kuna takriban spishi 550. Siku hizi spishi kadhaa hukuzwa sana katika kanda za tropiki na hapa Afrika ya Mashariki mkarakara-jeusi na mkarakara-tamu inajulikana sana na mkarakara-njano pia tangu mwanzo wa karne hii.
P. edulis forma edulis Mkarakara-jeusi
P. edulis forma flavicarpa Mkarakara-njano ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa