Mnavunavu au mzabibu-bata (Physalis peruviana) ni mmea au kichaka katika familia Solanaceae ambao unapanda mara nyingi juu ya mimea mingine au egemeo lolote. Matunda yake yalikayo huitwa manavunavu. Kaliksi, ambayo imeunda na sepali, izungashia tunda kama kibofu. Kama tunda likiiva, kaliksi inakauka. Tunda bivu lina rangi ya manjano na ladha maalum tamu. Asili ya mnavunavu ni Peru, Kolombia na Ekuador lakini sasa hupandwa Afrika ya Kusini na Mashariki, Australia, Nyuzilandi na visiwa kadhaa vya Pasifiki. ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa