Mchaichai (pia: mzumari; jina la kisayansi: Cymbopogon spp.) ni jina la nyasi za nusufamilia Andropogoneae.
Majani yake yana harufu na ladha ya limau, kwa hiyo hunywewa kama chai, yakiwa peke yake au kama mchanganyiko na majani ya chai. Lakini spishi kadhaa, kama mchaichai fukuza-mbu, hazinyweka.
Jenasi hii ina spishi nyingi ambazo 11 zinatokea Afrika.
Cymbopogon caesius (Kachi grass)
Cymbopogon citratus, Mchaichai wa Kawaida (Lemon grass)
Cymbopogon commutatus, Mchaichai-fukizo (Incense grass)
Cymbopogon ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa