Mnazi (Cocos nucifera) ni kati ya miti muhimu zaidi kwa ajili ya uchumi wa kibinadamu katika nchi za tropiki.
tunda lake laitwa nazi ni chakula
nyama ya tunda hukaushwa kuwa nguta (au: mbata). Nguta hutumiwa viwandani kwa kutengeneza mafuta ya kulika.
utomvu ni kinywaji chenye afya kwa sababu ya vitamini yake
utomvu uliochachuka 'mnazi' ni kinywaji cha pombe
ubao unatumiwa kwa ujenzi wa nyumba au jahazi
majani kwa paa za nyumba, mikeka au makofia.
Mafuu ya mbegu hutumiwa kama kuni au kutengeneza ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa