Mchikichi (Elaeis guineensis) ni kati ya miti iliyo muhimu zaidi kiuchumi. Matunda yake huleta mawese ambayo hutumika sana kama mafuta ya kupikia, kwa ajili ya madawa mbalimbali na siku hizi pia kama diseli.
Mti unakua hadi kimo cha m. 30. Matunda yake ni madogo yakiwa pamoja kwa shingo. Jumla ya mti mmoja laweza kufikia 50 KG. Matunda haya huharibika haraka hivyo ni muhimu kuyashughulika mara moja baada ya mavuno.
Asili yake Mchikichi ni Afrika ya Magharibi. Mti huu ulipewa jina la kisayansi 'Elaeis ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa