Mnanasi (Ananas comosus) ni mmea katika familia Bromeliaceae ya oda Poales.
Mnanasi unakuzwa hasa kwa sababu ya matunda yake, yanayoitwa mananasi, na juisi inayotokana na matunda haya.
Asili yake ni Amerika ya Kusini ingawa kwa sasa unakuzwa sehemu nyingi za dunia.
Vijidudu vinavyomelea mnanasi huchangia kuleta hasara kubwa kote duniani katika uzalishaji wa mananasi. Spishi zaidi ya mia moja za nematodi zimeripotiwa kuingia mizizi ya mnanasi na kutatiza matumizi ya madini na maji kwa mmea na kusababisha ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa