Midodoki ni mimea ya jenasi Luffa katika familia Cucurbitaceae. Matunda yao, yanayoitwa madodoki, hulika yakiwa machanga bado. Yakiwa yamekauka ndani yao kuna solo ya fumwele inayofanana na sifongo na inayotumika nchini kwingi katika bafu.
Luffa acutangula, Mdodoki-pembe (Ribbed loofah)
Luffa cylindrica, Mdodoki-laini (Sponge gourd au smooth loofah)
Luffa echinata, Mdodoki-nungu (Bristly loofah)
Luffa operculata, Mdodoki-miiba (Wild loofah)
Luffa saccata, Mdodoki wa Australia (Australian loofah) ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa