Mipupu ni mimea yenye nywele zinazowasha au zinazochoma. Ile ya nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae (miharagwe) ni aina ya mharagwe unaotoa majani machanga na makaka yenye nywele zinazowasha. Makaka na mbegu zake huitwa upupu. Mpupu hukuzwa sana kama gubiko la udongo ili kuzuia magugu na kukauka. Mimea iliyokomaa hulimwa mara nyingi katika udongo kama mbolea kijani. Upupu huliwa pengine, hasa wakati wa njaa.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa