Mirtia (kutoka jina la Kigiriki: Μυρτιά, Mertiá; Kilatini: Myrtus) ni jenasi ya mti mdogo kama mkarafuu.
Myrtus, Mirtia (Myrtle)
Myrtus communis, Mirtia wa Kawaida (Common Myrtle)
Myrtus nivellei, Mirtia wa Sahara (Saharan myrtle)
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa