Magimbi au majimbi (ing. taro) ni moja ya chakula chenye asili ya mizizi ambayo hupatikana sehemu mbalimbali duniani. Mmea wao huitwa mgimbi, mjembe, mjimbi au myugwa (Colocasia esculenta) unaoainishwa katika familia Araceae.
Magimbi hupendwa sana na watu, hasa kwenye msimu wa Ramadhani kama futari. Mara nyingi hupikwa kwa nazi. Na watu wa Unguja huita zege kwa sababu tu, chakula kitamu na ukila sana unavimbirwa haraka mno. Isitoshe hakiishi haraka tumboni. Kuna miundo mingi ya upishi wa magimbi, ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa