Mpopoo (Areca catechu, betelpalm) ni mti unaozaa popoo. Kokwa hii huliwa sana huko Asia ya kusini na kusini-mashariki na pia katika nchi kadhaa za Afrika ya Mashariki zenye idadi kubwa za Wahindi. Jenasi Areca ni jenasi-mfano ya familia Arecaceae.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa