Milenda ni mimea ya jenasi Corchorus katika familia Malvaceae. Majani yao huliwa kama mboga yenye kuleta afya na hupikwa kwa mchanganyiko wa mimea mbalimbali kama bamia, mboga za majani na karanga; pia huliwa kwa ugali.
Corchorus fascicularis, Mlenda Majani-membamba
Corchorus olitorius, Mlenda wa Kawaida (Indian jute)
Corchorus pseudocapsularis, Mlenda
Corchorus tridens, Mlenda Matunda-pembe (Horn-fruited jute)
Corchorus trilocularis, Mlenda Matunda-vyumba-vitatu (Threelocule jute)
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa