Mimoyomoyo, miharita au mimwaka ni miti ya jenasi Sapindus katika familia Sapindaceae ambayo matunda yake, inayoitwa moyomoyo, hutumika kwa kutengeneza aina ya sabuni. Uziduzi wa matunda hutumika kwa kulevya samaki au kuua konokono wa maji ambao wanaambukiza kichocho. Jenasi hii ni jenasi-mfano ya Sapindaceae.
Sapindus saponaria, Mmoyomoyo
Sapindus trifoliatus, Mmoyomoyo Majani-matatu
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa