Mbaruti au mtunguja bonde (Argemone mexicana) ni aina ya mpopi iliyo na maua njano na majani yenye miiba. Mmea huu hutumika katika uganga wa kienyeji, lakini umevamia Afrika kutoka Mexiko na sikuhizi unaletea mashamba shida nyingi.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa