Mng'ong'o )pia mng'ongo, mungango au mmorula; jina la kisayansi: Sclerocarya birrea) ni mti mkubwa wa savana. Matunda yake huitwa mang'ong'o au morula.
Mti huu haukuzwi kwa kawaida wala haukatwi ila huachwa porini kwa ajili ya matunda yake. Nyama ya matunda huliwa na kokwa mbichi zake pia. Matunda yanaweza kuchachuliwa ili kutengeneza pombe na hiyo inaweza kukenekwa ili kupata pombe kali (k.m. Amarula).
Juisi iliyochemshwa hutumika ili kukoleza uji uwe mtamu. Kokwa hupondwa ili kutengeneza keki na ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa