Mikweme ni mimea ya jenasi Telfairia katika familia Cucurbitaceae. Ina umbo la kamba na kutambaa juu ya miti yenye shina kubwa. Matawi yake yanafikia urefu wa mita 30.
Matunda yake ni makubwa sana; yale ya mkweme mashariki yanaweza kufikia kg 15. Mbegu huitwa kweme na hutumika kama chakula na kwa kutengeneza mafuta. 25% ni protini na 55% ni mafuta, hivyo zinafaa sana kama chakula bora, kwa mfano kwa akina mama baada ya kujifungua.
Asili yake ni Afrika.
Telfairia batesii, Mkweme-mwitu (Bush oysternut) ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa