Mkekundu (Chloris gayana) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Nyasi hili huishi miaka na linaweza kufika urefu wa m 3. Linaweza kumea katika maeneo makavu kiasi (mm 600-750 ya mvua kwa mwaka). Kwa sababu halichuani na mimea ya shambani, linaweza kupandwa katikati yao bila kuathiri mazao na pia ni lishe bora ya wanyama wafugwao.
Taarifa kutoka Feedipedia
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa