Nyanya chungu (pia ngogwe au nyanyamshumaa) ni tunda la mngogwe, jamii ya mbiringani, ambalo linatumika kama mboga.
Ina wingi wa vitamini (A, B, C, K) na madini, hivyo inasaidia sana afya.
Ina ladha chunguchungu na huliwa kwa ugali, lakini ngogwe Habeshi inaweza kuliwa mbichi pia.
Mboga ya nyanya chungu wakati wa kupikwa huwekwa vitu vifuatavyo kama: nyanya, kitunguu, karoti na pilipili hoho, lakini pia bamia.
Unawasha moto wako au gesi yako; ukishamaliza unaweka sufuria yako kwenye jiko na unaacha ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa