Mwerezi ni mti wenye historia katika nchi ya Lebanon.
Historia ya mwerezi wa Lebanon inaanzia miaka mingi nyuma kabla Yesu [[hajazaliwa, kwa mfano katika Zaburi 92:12, 'Wenye haki watastawi kama mtende]], watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni'.
Ni mti unaostahimili hali za baridi kali na joto pia.
Mwerezi hukua taratibu sana na hivyo kuufanya kuwa mti wenye mbao imara. Kwa sababu hiyo mierezi ya Lebanon imekuwa ikikatwa kwa wingi tangu enzi za mfalme Suleiman (na wafalme wengine pia) ambaye aliitumia ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa