Mikonge ni mimea ya jenasi Sansevieria katika familia Asparagaceae. Majani yao huitwa makonge. Jina hili limesilikiwa kwa Agave sisalana (mkonge dume unaolimwa kwa uzalishaji wa katani) na spishi nyingine za jenasi Agave (mkonge-pori).
Sansevieria conspicua, Mkonge (Sansevieria conspicua)
Sansevieria ehrenbergii, Mkonge Masai (East African wild sisal)
Sansevieria fischeri, Mkonge wa Fischer (Fischer's sansevieria)
Sansevieria nitida, Mkonge (Sansevieria nitida)
Sansevieria perrotii]], Mkonge wa Perrot ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa