Mvungunya, mvungavunga, mbungati, mranaa au mwegea (Kigelia africana) ni mti mwenye matunda kwa umbo wa soseji kubwa (mavungunya). Kwa asili mti huu unatokea Afrika ya tropiki lakini umepandwa kama mti wa kupamba katika mabara mengine. Mavungunya hutumika katika uganga wa mapokeo na ili kutengeneza pombe ya kienyeji (Kikikuyu: mũratina).
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa