Mvumo wa Afrika (pia mvumo peke yake), mtapa au mchapa (Borassus aethiopum) ni mti mrefu wa familia Arecaceae ambao matunda yake (mavumo) yalika. Jani lake huitwa tapa na hutumika kama mwavuli.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa