Mgobi, mgarara au mgwana (Canavalia rosea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Spishi hii inafanana na mbwanda (C. gladiata) lakini inamea karibu na ufuko katika mchanga takriban safi. Maua ni pinki na makaka ni mafupi na mapana zaidi. Mbegu zake huitwa magobi.
Mgobi hukua pwani za ukanda wa tropiki na unaweza kuhimili kitembo kiasi cha chumvi. Makaka yanaweza kuelea juu ya maji na kwa hiyo yamesambaa kwenye pwani zote za tropiki. Pengine mmea huu hukuzwa juu ya matuta ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa