Vikwata ni miti ya jenasi Senegalia katika familia Fabaceae yenye miiba iliyopinda na majani yenye sehemu nyingi. Zamani spishi hizi ziliainishwa katika jenasi Acacia lakini wanasayansi wamegawanya jenasi hii kwenye jenasi tano: Acacia, Vachellia, Senegalia, Acaciella na Mariosousa. Spishi za Senegalia zina miiba ilyopinda ambayo imetawanyika kwenye matawi. Miti hii inatokea maeneo kavu ya Afrika, Amerika, Asia na Australia.
Senegalia adenocalyx, Kikucha cha Paka
Senegalia andongensis
Senegalia ataxacantha ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa